top of page
  • Writer's pictureSilent Poster

Antonio Guerres -Corona

Corona au COVID-19.


Huku siku ya uhuru wa vyombo vya habari ikiadhimishwa tarehe 3 Mei kote duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema wanahabari na wafanyakazi katika vyombo vya habari wana majukumu muhimu katika kusaidia ulimwenguni kusambaza habari ipasavyo kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.



Alisema ni vema serikali kuwapatia nafasi na uhuru waandishi kutekeleza majukumu yao bila hofu,kuingiliwa au kutishiwa.


Siku ya uhuru was waandishi was habari huadhimishwa kila mwaka; maudhui ya mwaka huu ikiwa,uandishi wa habari bila uoga wala upendeleo,.

Tangu mlipuko was COVID 19 wanahabari wamejipata pambaya n'a selikali tofauti kufuatia j'insiste wanavyo ripoti maambukizi ya Corona. 


Hivi majuzi Tanzania ilistumu vikali habari kuwa kuna idadi kubwa ya maambukizi nchini humo. 


Serikali ya Kenya piano ili kashfu taarifa kuwa idadi ya maambukizi ni zaidi kuliko inavyotangazwa n'a selikali.


Wanahabari pia wanahitaji kulindwa wanapoenda kufanya mahojiano na wataalamu wa afya au wenye maambukizi.


Katika shughuli zao za kila siku wao hukabiliana n'a tishio baada ya nyingine n'a ni jukumu la selikali kuwapatia ulinzi hasa wakati huu was janga hili la Corona.


Fauka ya hayo,Bwana Guterres amesema katika vita dhidi ya virusi vya Corona, wanahabari wanaelimisha jamii jinsi ya kuepuka kuambukizwa Corona na kuwa hii italeta tofauti kubwa kupunguza maambukizi n'a kuokoa maisha .


Isitoshe,Guterres amekumbusha kuwa waandishi kuwezeshwa kufanya kazi zao kwa kupewa nafasi n'a mazingira bora.

1 view0 comments

Recent Posts

See All
bottom of page