top of page

Kutuhusu

Habari za kuaminika na tena za leo.

Afya Mazingira ni tovuti linalokuletea habari kemkem yaliyojiri. Utangazaji wetu ni kweli tena wa umakini na ufasaha. Tunachapisha habari yetu kwa Kiswahili ili kuhakikisha ya kwamba unaweza kuelewa vyema.

Tunawapa mukhtadha wa kutoa maoni yako ilimuradi tuweze tukaunufaisha tovuti kwa niaba yako. Soma, toa maoni na sambaza habari hizi kwenye mtanedao mkubwa ulio kwenye nyayo ya tovuti huu.

Unaweza ukasoma mengi kuhusu mwandishi was tovuti huu kupitia kiunga hiki:

​

https://afyamazingira.blogspot.com/

​

Ni jukumu letu kudumisha usafi. Siha bora ni muhimu kwa kila kiumbe. Mimi kama mwandishi wa habari nimechukua jukumu la kuwahamazisha watu umuhimu wa mazingira masafi na afya njema. Huku nikitilia maanani utumiaji wa lugha ya kiswahili ilikuwafikia wengi ambao hawazifahamu lugha za kigeni. Kwa kuchangia hapa tafadhali tuandikie.

​

bottom of page